Usiku wa Hip Hop Takatifu ulioandaliwa na huduma ya Yesu Okoa Mitaa (YOM) wafana .Usiku huo uliokua na lengo kutangaza Injili kwa njia ya muziki wa aina ya kufoka-foka ujulikanao kama hip hop ulihudhuriwa na wageni kadhaa kutoka madhehebu tofauti jijini Dar es Salaam .
Historia inaonyesha muziki wa hip hop ulichukua kasi kuanzia miaka ya 1980 hata hivyo haukupokelewa vizuri sana makanisani nchini Tanzania kama njia ya kuhubiri...
Recent Articles
Sunday, May 20, 2018

Picha za matukio ya Usiku wa Hip Hop Takatifu na Yesu Okoa Mitaa Ministry (YOM) !!
Posted on 6:10 AM by The Open University of Tanzania - Simiyu RC
Friday, April 13, 2018

Noel + Julieth Special Day - EK Studios
Posted on 6:15 AM by The Open University of Tanzania - Simiyu RC
MUA : Irene Beauty Point
Stylist: Erasmus K
EK Studi...
Tuesday, August 22, 2017

Tanzania Weddings - love story#Ezekiel and Matulo - August 2017 by EK Studios
Posted on 2:24 AM by The Open University of Tanzania - Simiyu RC
...
Subscribe to:
Posts (Atom)