KUMBUKUMBU ya leo ; Safari ya Stockhom ,Sweden na EK .Mambo 3 usiyoyafahamu kuhusu watu na nchi ya Sweden ;
1. WATU wa Sweden wanapenda sana kunywa kahawa au chai na vitafunio vingine kama keki nk karibu mara mara tatu kwa siku wawapo kazini ,wenyewe wanaiita FIKA kwa jina la umaarufu .
2. WAKARIMU kwa wageni .Kama ni mara ya kwanza kufika jiji la stockholm au maeneo mengine ya Swedene na bahati mbaya ukapotea unapokwenda usisite kuwauliza wenyeji njiani watakuelekeleza vizuri tena kwa kiingereza fasaha .
3.HAWAPENDI Kuchelewa ,ni muhimu kuwahi kama umeweka appointment na hawa watu ,hawapendi kuchelewa kwa shughuli ya aina yoyoye :D
Picha zote kwa hisani ya Erasmus K
0 comments:
Post a Comment