Tuesday, May 16, 2017

Azania ( 2002 ) Society yawa Gumzo ya aina yake Jijini Dar es Salaam !!

AZANIA Society yawa gumzo ya aina yake kwenye sherehe iliyofanyika hivi Karibuni jijini Dar es Salaam wakimsindikiza na kumpongeza  mmoja wa mjumbe wake ndugu Ajally  aliefunga pingu za maisha na Bi. Nasra .

Jumuiya hii ya Azania inahusisha wanafunzi wote waliomaliza shule ya Azania sekondari mwaka 2002 ambao kwa pamoja walijumuika na kuunda taasisi ya Azania ( 2002) society .Taasisi hii kwa sasa inaongozwa na Dr.Nathaniel Sirili ambae ni mhadhiri Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili ( MUHAS ). Picha zote kwa hisani ya EK Studios.

erukantabula@gmail.com ;+255 713 2761402 comments: